BAADA YA ZAHMA LA JANA REAL, YABAINIKA MOURINHO ANAONDOKA NA RONALDO KWENDA CHELSEA...MAN U WALIE TU!

clip_image001Mourinho anatumai kuondoka na Ronaldo kutoka Real Madrid kwenda Chelsea

 clip_image001[6]clip_image001[8]

Wayne Rooney, ambaye angependa kwenda Chelsea, na mshambuliaji wa Napoli, Edinson Cavani pia anatakiwa na Mourinho.clip_image001[10]Fungu la usajili: Abramovich atampa Mourinho Pauni Milioni 100 za usajili

MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo amejikuta katikati ya mvutano wa klabu mbili kuwania saini yake, Manchester United na Chelsea.

Nyota huyo mwenye thamani ya Pauni Milioni 80 wa Real Madridd, ambaye alipewa kadi nyekundu jana katika fainali ya Copa del Rey waliyofungwa na Atletico, yumo kwenye orodha ya wachezaji wanaotakiwa na kocha mtarajiwa wa Chelsea, Jose Mourinho.

'The Special One' pia alipandishwa jukwaani baada ya kubishana na refa jana katika mechi mbaya upande wao Uwanja wa Bernabeu jana.

United watakuwa na nafasi ya kwanza ya kumsajili Ronaldo ikiwa Real wataamua kumuuza hivyo Mreno huyo ana nafasi kubwa ya kurejea Old Trafford.

Lakini Mourinho, ambaye amekuwa akifanya naye kazi kwa miaka mitatu iliyopita, amemuweka katika orodha wake ya nyota anaowahitaji mno.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post