Siri ya Mtungi Sehemu ya 10

Pamoja na kuwa aliipata pikipiki yake iliyopotea kwa Lulu, bado Cheche ameendelea kukwepa maswali ya kufedhehesha ya mkewe na familia ya jinsi alivyoipoteza pikipiki yake -- na kwa kuzaliwa mtoto Tea, hali ya taharuki inatanda kati ya Cheche na Cheusi, hasa pale mama Cheche anapowasili bila taarifa na kuzuka mikwaruzano midogo midogo kati ya mama hawa wawili. Mwanaidi naye anamtupia jicho Cheche kwenye arobaini. Je ana wasiwasi kuwa kuna jambo mkwewe anataka kufanya?
Stephen, mdogo wake Duma, naye pia anajiingiza matatani katika mahusiano na msichana mmoja kwenye maskani. Msichana 'anagawa' zaidi ya machungwa....

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post