Website www.ngoma-africa.com ya Ngoma Africa Band aka FFU imeanza tena kurusha muziki hewani, baada ya marekebisho machache yanayo endelea kufanyika ili kubadili sura yote mtandao huo.
Tuvoti hiyo ya ilisimamishwa kurusha muziki hewani kwa muda wa siku nzima sasa inarusha tena muziki hewani na mnaweza kuendelea kupata burudani kamili tena kwa kusikiliza nyimbo aka (Virungu vya FFU) at http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com Usikose kuwasiliana nao at contact@ngoma-africa.com.
Tags
MUSIC NEWS