Habari zaidi zimeonesha AY, MwanaFA na Ommy Dimpoz wako huko pia kufanya kitu katika studio hiyo...
MwanaFA pia ameonekana kuweka picha katika moja ya mtandao wake wa kijamii anaotumia akiwa na J Martins huku akiandika, " J Martins featured on FA&AY "Bila Kukunja Goti... Tunawaua hawaponi..."
Hii inathibitisha kuwa these dudes are all in the studio cooking some... ITS A #STUDIOFLOW Ninjas... wakiwa na producer mkali kutoka studio hiyo... Marco Chali...
Cheki baadhi ya picha katika studio na producer Marco Chali...
Tags
HABARI ZA WASANII