Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Mh. Tundu Lissu, amesema video iliyowekwa mitandaoni imetengenezwa na Mwigulu akishirikiana na Joseph Ludovick. Lissu amesema endapo kesi hiyo itafika Mahakamani hawatamaliza hata masaa matatu (3) watakuwa wameshinda. (Video na Chadema TV)
Tags
HABARI ZA KITAIFA