ACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUNYONYA CHUCHU ZA DIAMOND PLATNUMZ

Binti uzalendo ulimshinda, akaenda kumnyonya matiti DiamondShow ya Diamond platnumz iliyofanyika Kahama, imefagiliwa kwenye mitandao mbalimbali kwa ukali wake. Kama kawaida, mara nyingi vituko huambatana na matukio ya watu kujirusha usiku. Show ya Diamond haikuwa tofauti.Binti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda, akaenda kunyonya chuchu za diamond kama inavyoonekana pichani hapa chini. Kitendo hicho kilimuudhi bwana wake, ambapo alimvuta binti huyo na kumchapa makofi. Katika picha ya pili, binti huyo anaonekana akilia baada ya kuchezea kichapo, huku akiwa amewekwa “chemba” na boyfriend wake.Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wakeBinti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wakeDIAMOND KAZINI NA MADANCER WAKE

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post