Siri ya Mtungi Sehemu ya 4 (Episode 4 with English Subtitles)

Fikra pekee inayomsumbua Kizito ni jinsi atakavyoweza kumwoa Nusura, binti mrembo wa mmiliki wa mabanda, Masharubu. Mjomba Mawazo ana wakati mgumu wa kujadiliana na Masharubu mwenye tamaa ambaye yuko tayari kumwozesha binti yake kwa mahari kubwa mno.
Cheche bado inamuwia vigumu kuweka uwiano kati ya biashara yake na familia, na muda wa Cheusi unapotezwa kwa kuwaangalia watoto wake wawili watundu na mimba yake. Cheche anapata faraja kwa Tula kwenye Kigrosari chake, huku baadae studio yake 'ikisambaratishwa' na shangingi linalojiita Lulu linapovamia toka kusikojulikana na kudai apatiwe huduma!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post