Warembo walio ripoti kambini hadi sasa ni kutoka mikoa ya Arusha (Rose Godwin), Dar es Salaam 1 (Sophia Yusuph),Dar es Salaam 2(Ivon Stephen),Dar es Salaam 3 (Irine Thomas),Dodoma (Erica Ekibariki), Geita (Hamisa Jabiri), Iringa (Debora Jacob), Kagera 1(Elline Bwire), Kagera2 (Jania Abdul), Kagera 3(Mulky Uda), Kilimanjaro (Anna Pogaly), Lindi (Joan John), Mtwara (Halima Hamis),Mara (Dorine Bukoni), Manyara (Mary C. Lita), Mbeya (Diana Joachim), Mwanza (Jesca Peter), Morogoro
Wengine ni (Hadija Said),Tanga (Sarafina Jackson), Tanga (Leah Makange), Tabora (Magreth Malalle), Njombe (Pauline Mgeni), Rukwa (Anganile Rogers), Katavi (Asha Ramadhani ), Simiyu (Flora Msangi), Shinyanga (Lightness Kituwa), Ruvuma (Furaha Kinyunyu), Kigoma 1(Zena Ally), Kigoma 2(Rosemary Emmanuel), Pwani (Beatrice Iddy), Singida (Neema Julius), Singida (Christina Daud),Vyuo Vikuu (Irine Richard), Vyuo Vikuu (Hawa Nyange)
Warembo wote wakiwa kambini,watapewa mafunzo na semina mbalimbali kuhusiana na Utalii, Utamaduni, Uwekezaji, Afya ya Jamii, Elimu ya Jamii, Wanyama Pori, Mazingira, Madini,Ulinzi Shirikishi n.k, chini ya jopo la wakufunzi la mashindano haya wakiongozwa na mkufunzi mkuu (Chief Choreographer) Erasato Gideon, pamoja na Mkufunzi Mkuu wa Ngoma za Asili Mariam A. Kweji toka Kaole Sanaa Group,Mkufunzi wa Miziki na Dansi la Asuku Che Mundugwao,wakufunzi wa minato na miondoko ya Urembo na Mitindo Caroline Y. Mrosso na Evamary Gamba .
Asante.
Fredy Tony Njeje
Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano
Tags
HABARI ZA KITAIFA