NEWS: DANIEL STURRIDGE AKAMILISHA UHAMISHO WA LIVERPOOL

Mshambuliaji wa England aliyekuwa anaichezea Chelsea Daniel Sturridge amekamilisha rasmi uhamisho wake wa kwenda Liverpool kwa ada ya uhamisho wa £12 million.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post