MWILI WA MAREHEMU SAJUKI UMEKWISHA ZIKWA......MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI


Sehemu ya waliohudhuria msiba wa Sajuki katika makaburi ya Kisutu
Wadau mabali mbali wakisubiria mwili wa Marehemu Sajuki, huku Profesa Jay akionekana kwa mbali miongoni mwa wanaousubiri mwili.Umati wa watu ukiwa makaburini Kisutu DarMwili wa marehemu Sajuki ukiwasili katika makaburi ya Kisutu tayari kwa mazishiHapa ndipo sajuki amelala! May his soul R.I.P
Previous Post Next Post