Unknown Unknown Author
Title: MBUNGE WA JIMBO LA MTAMA APOKEA MAUJAJI WATOKAO ISRAEL PAMOJA NA MAHUJAJI WALIOENDA HIJJA MAKKA KWA UFADHILI WA JIMBO LA MTAMA KATIKA KUKARIBISHA MWAKA 2013
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa jimbo la Mtama,Bernard Membe akiwa na Mahujaji walioenda Israel na Makka kwa ufadhili wa Jimbo la Mtama Kutoka kushoto Katibu wa ...
DSCF3021Mbunge wa jimbo la Mtama,Bernard Membe akiwa na Mahujaji walioenda Israel na Makka kwa ufadhili wa Jimbo la MtamaDSCF3005Kutoka kushoto Katibu wa Baraza kuu la waislam Mkoa wa
Lindi,Alhaj,Abdillah Kassozy akimtakia heri ya mwaka mpya Mbunge wa Jimbo la Mtama,Bernard Membe huku kiongozi wa safari ya Mahujaji wa Makka 2012,Alhaj Saidi Ally Kinungu akimshukuru kwa niaba ya mahujaji wenzie
DSCF2919akisalimiana na Mahujaji waliorudi Israel na kuwasili janaDSCF3234Viongozi mbalimbali kutoka jimbo la Mtwara mjini wakiwasili katika makazi ya Waziri Membe kwa ajili ya kumtakia heri ya mwaka mpyaDSCF3467Wageni mbalimbali waliohudhuria kukaribisha mwaka 2013
Na ABDULAZIZI,LINDI
Jumla ya Mahujaji 10 ambao walikwenda katika Ibada Takatifu huko Israel waliwasili juzi jijini Dar es sallam na kupokelewa jana katika makazi ya Mbunge wa jimbo la Mtama ambae pia ni Waziri wa Mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa,Bernard Membe Sambamba na mahujaji hao pia mbunge huyo alipata fursa ya kukutana na Mahujaji wengine 8 wa kiislam waliokwenda Hijja huko Makka ikiwa ni mfululizo wa jimbo hilo kupeleka Mahujaji ambapo hadi sasa mahijaji 75 wa jimbo hilo wamepelekwa Hijja kwa Ufadhili wa Jimbo.
Katika hafla hiyo ambayo pia ilikuwa ya kutakiana heri ya Mwaka mpya viongozi mbalimbali walialikwa na kuhudhuria akiwemo mkuu wa mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzira na kamati ya Ulinzi na ualama Mkoa,Viongozi wa CCM wilaya na Mkoa,Viongozi wa Vyama vya siasa,Mbunge wa jimbo la Mtwara na uongozi wa ccm mtwara,Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Lindi pamoja na wananchi walihudhuria na kutakiana heri na Mbunge huyo kijijini kwake Rondo,Lindi


About Author

Advertisement

 
Top