Hii ndio Ilikuwa Mahakama ya Mwanzo Mtwara ikimalizika baada ya
kuchomwa na Wananchi wa Mtwara waliokuwa wakizunguka kwa madai mbalimbali ikiwemo Imani za Kishirikina za Diwani, Pamoja na sakata la kuhamisha gesi kwa njia ya Mabomba kutoka Mtwara kwenda Kinyerezi...