Unknown Unknown Author
Title: MAAFA MAKUBWA YA MVUA MANISPAA YA MTWARA HII LEO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ni balaa kubwa la mafuriko ya maji hapa Mtwara hii leo maeneo ya Majengo kule eneo la Chuno. Eneo hili ni karibu na nyumba ya Mzee Hokororo...

mtNi balaa kubwa la mafuriko ya maji hapa Mtwara hii leo maeneo ya Majengo kule eneo la Chuno. Eneo hili ni karibu na nyumba ya Mzee Hokororo au Dr Mwakipa. Hali ni mbaya bwawa linaendelea kujaa maji, hadi mchana huu Mali na mifugo haikusalimika na bado waathirika walikuwa wanahangaika kujinusuru. Hakuna taarifa yeyote ya aliyepoteza maisha. Msaada wa haraka unahitajika kwa wananchi hawa.wa maeneo hayo.
mt3mt4

About Author

Advertisement

 
Top