Watch You Guy from P-Unit ft Collo

Kile kichupa ambacho kimekuwa kikisubiriwa kwa hamu na mashabiki kibao wa muziki nchini Kenya kutoka kwao P-Unit wakimshirikisha Collo kiitwacho 'You Guy' hatimaye kimetoklezea.

Baada ya kufanya vizuri na albamu yao ya pili iitwayo 'wagenge hao tena' ni dhahiri Kichupa hiki kitakuwa zawadi nzuri kwa mashabiki Afrika Mashariki kwa kipindi hiki cha kusheherekea sikukuu ya xmas.'You Guy' imefanyiwa shooting chini ya Clarence Peters na pia kutayarishwa na mkali wa kutengeneza beats, Musyoka.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post