Unknown Unknown Author
Title: WASANII WA BONGO BADO WAENDELEA KUJIACHIA BILA KUJALI CHOCHOTE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ama kweli mwisho wa dunia umekaribia! Chipukizi wawili wa filamu za Kibongo, Tabasamu Mohamed na Neema Ibrahim, wamekutwa ‘laivu’ wakifanya ...

Ama kweli mwisho wa dunia umekaribia! Chipukizi wawili wa filamu za Kibongo, Tabasamu Mohamed na Neema Ibrahim, wamekutwa ‘laivu’ wakifanya mambo ya chumbani hadharani.
Awali wasanii hao walishuhudiwa wakiwa ‘klozi’ ambapo walikwenda ‘kupozi’ chini ya mti na kuanza ‘kudendeka’ kabla ya kuzama katika hatua mbaya zaidi ya kutomasana na kuvuana nguo bila kujali kuwa ilikuwa mchana tena hadharani.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top