WAFUMWA LAIVU WAKIVUNJA AMRI YA SITA…(PG 18+)

imageHii ni Aibu na laana ambayo wanadamu tunaonekana kujitafutia kwa sasa, kwa kile kilichoonekana ni uvunjifu wa Maadili yetu.  Chakushangaza wanaofanya mambohaya ni watu wazima wenye utashi mkubwa wa kufikiria mambo yaliyo mabaya na mazuri isitoshe wengiwao wanafamiliya zao hiyo ikimaanisha wameolewa/wameolewa.

Nini kifanyeke ilikulinda maadiliyetu yasiendelee kuporomoka zaidi?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post