Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi Ndugu Thomas Sowani (katikati),akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Tanzania (kushoto) wakikata utepe kuzindua jengo la Maktaba ya Shule ya Sekondari ya Angaza ya Mjini Lindi lililokarabatiwa na NBC katika Halfla iliyofanyika Mjini Lindi mwishoni mwa wiki iliyopita.