Unknown Unknown Author
Title: SHEREHE ZA MWAKA MPYA ZINAZOENDELEA NCHINI AUSTRARIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Nchi ya Austraria huwa ya kwanza kila mwaka kusherehekea sherehe za Mwaka Mpya Kwa sababu za kijiografia, hizo ni baadhi ya Picha za ...
Nchi ya Austraria huwa ya kwanza kila mwaka kusherehekea sherehe za Mwaka Mpya Kwa sababu za kijiografia, hizo ni baadhi ya Picha za sherehe hizo muda mfupi uliopita mjini Sydney. Wenzetu wamesha ingia 2013 wakati wakazi wa Africa Mashariki bado wanasubiri masaa nane ya jayo kuanzia sasa.

About Author

Advertisement

 
Top