Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Asiye na Wizara Maalumu, Profesa Mark Mwandosya (kushoto) akiwasili kwenye Uwanja mpya wa Ndege wa Songwe jijini Mbeya wakati alipokwenda kuutembelea na kuangalia jinsi utendaji kazi unavyoendelea.
Kibao kinachoonyesha ulipo uwanja wa Ndege huo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Asiye na Wizara Maalumu, Profesa Mark Mwandosya (kushoto) akipokea maelezo kutoka kwa muongozaji wa Ndege aliopo uwanjani hapo.
Runway ya Uwanja wa Songwe inavyoonekana kutoka angani.