COASTAL UNION VIJANA YAINGIA FAINALI UHAI CUP

Wachezaji wa timu ya Vijana ya Coastal Union wakipongezana baada ya kuishinda Simba mabao 2-1 katika nusu fainali ya michuano ya Uhai Cup, Uwanja wa Karume Dar es Salaam jana.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post