Kuna
habari kwamba SHARO MILIONEA AMEFARIKI KWA AJALI YA GARI HUKO MUHEZA. ~
Source Channel Ten TV ila bado haijathibitika mwenye uhakika naomba
atujuze
WAKATI NA SISI TUKISUBIRIA KUWAPA UPDATE
UPDATE INAENDELEA....!!!!
Nikweli taarifa tuliyoitoa hapo mwanzo kuwa Msanii Maarufu wa vichekesho nchini Tanzania, Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga Costatine Masawe Amekiri kotokea kwa msiba wa Sharo Milionea baada ya kupata Ajali katika kijiji cha Lusanga, Muheza ambapo pia ni Nyumbani Kwao.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema..