NIJUZE NIJUZE Author
Title:
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
RAY C ENZI ZA NYUMA Hali ya kiafya ya mwanamuziki ' RAY C ' imeendelea kutengemaa baada ya msanii huyo kupata huduma za k...
RAY C ENZI ZA NYUMA


Hali ya kiafya ya mwanamuziki 'RAY C' imeendelea kutengemaa baada ya msanii huyo kupata huduma za kiafya na kiushauri kutoka kwa madaktari na watu wengine walioamua kujitolea msaada kwa msanii huyo aliyetamba sana kwenye game ya Bongofleva miaka ya nyuma. 'RAY C' ambaye afya yake ilidhoofika na kufikia hatua ya kuumwa sana kutoka na utumiaji wa madawa ya kulevya kama inavyoripotia na watoa habari na mitandao mingi ya Afrika Mashariki alianza kupata matibabu baada ya 'Ruge Mutahaba
' kujitolea kusimamia huduma zote zinazotakiwa ili afya ya mwanadada huyo iweze kurudi kwenye hali yake ya kawaida baada ya kusumbuliwa na kudhoofika kwa muda mrefu.
Hata hivyo haikuwekwa wazi ni wapi hasa mwanamuziki huyo ambaye asili yake ni hapa Bongo anapata matibabu na ushauri huo ili hata kama kuna wenye nia ya kumjulia hali na kutoa msaada zaidi waweze kufika.!

About Author

Advertisement

 
Top