Unknown Unknown Author
Title: WAISILAMU KESHO KUKUSANYIKA JANGWANI BAADA YA SALA YA IJUMAA, KULAANI FILAMU YA KUMKASHIFU MTUME
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Amiri wa Shura ya Maimamu nchini Sheikh Musa Kundecha (kulia) akiwa na Masheikh wa Taasisi ya Umoja wa Wanazuoni wa Kiisilamu Tanzania kweny...

Amiri wa Shura ya Maimamu nchini Sheikh Musa Kundecha (kulia) akiwa na Masheikh wa Taasisi ya Umoja wa Wanazuoni wa Kiisilamu Tanzania kwenye Msikiti wa Kichangani jijini Dar es Salaam jana wakati wa kutangaza hatua za kuchukua dhidi ya Filamu iliyotengenezwa na wamarekani ya kumkashifu Mtume Muhamad (SAW) ambapo wameazimia siku ya Ijumaa Kesho Waisilamu wote kukusanyika kwenye viwanja vya Jangwani kulaani Filamu hiyo mara baada ya sala ya Ijumaa.Waumini wa dini ya Kiisilamu waliojitokeza kwa wingi kwenye kutangaza hatua hiyo wakati wa swala ya Alaasiri jioni jana.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top