Unknown Unknown Author
Title: Rais Kikwete azindua ujenzi wa Daraja la Kigamboni
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli akimpa maelezo Raid Dtk.Jakaya Mrisho Kikwete juu ya Ujenzi wa Daraja la Kigamboni wakati wa hafla ...

Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli akimpa maelezo Raid Dtk.Jakaya Mrisho Kikwete juu ya Ujenzi wa Daraja la Kigamboni wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa Daraja hilo ulofanyika Kurasini jijini Dar ea Salaam leo mchana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akiongea na Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni uliofanyika huko Kurasini jijini Dar es Salaam leo mchana.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top