Unknown Unknown Author
Title: Semina ya Masheha na madiwani Pemba
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Sheha wa shehia ya Ndagoni Pemba,Masoud Ali Mohamed,alipokuwa akichagia kuhusu namna ya uboreshwaji wa maendeleo ya shehia mbali mbali wak...
Sheha wa shehia ya Ndagoni Pemba,Masoud Ali Mohamed,alipokuwa akichagia kuhusu namna ya uboreshwaji wa maendeleo ya shehia mbali mbali wakati wa Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha PembaSheha wa Shehia ya Pembeni,wilaya ya Wete Pemba,Saumu Ali Hamadi,alipokuwa akiomba kuharakishwa kukamilishiwa shehia yake ipatiwe huduma ya umeme,wakati wa Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha Pemba.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati,Mwalimi Ali Mwalimu, akitoa ufafanuzi wa masuala mbali mbali ya Wizara yeke yaliyoulizwa wakati wa Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha Pemba.Mshauri wa Rais mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa,akichagia mada wakati wa Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach HotelRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatilia kwa makini wakati Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahya Mzee,(kushoto) alipokuwa akichangia wakati wa Mkutano wa Sikutatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha PembaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia)akitoa maelekezo kwa wajumbe wa Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha Pemba,(kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisna Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame,(kushoto) na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee.Baadhi ya Masheha na Madiwani wa Shehia za Pemba wakiwa katika Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha Pemba.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

About Author

Advertisement

 
Top