Mgeni rasmi akipata maelekezo katika eneo la shamba la halmashauri ya newala, katika maonesho ya wakulima maarufu kama nane nane katika viwanja vya nane nane tulieni mkoa wa lindi
BENKI YA NNMB NAYO IPO KWA AJILI YA KUTOA MAELEKEZO YA KIBENK NA USHAURI KWA WAKULIMA ILI KUPATA FURSA YA KUWEKA AKIBA NA KUPATA MIKOPO KATIKA BENKI HIYO
HILI NDILO ENEO LA MANISPAA YA LINDI KATIKA VIWANJA HIVYO VYA NANE NANE MKOANI HAPA NA HILI NDILO BANDA LA WIZARA YA ULINZI NA USALAMA KATIKA VIWANJA HIVI VYA NANE NANE MJINI LINDI HALMASHAURI YA WILAYA YA LINDI KAMA ILIVYO ADA YAO WAPO KATIKA VIWANJA HIVI VYA NANE NANE MUONEKANO WA BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA LINDI KWA NYUMA MH. MGENI RASMI AKIPOKEA MAELEZO NDANI YA BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA LINDIHALMASHAURI YA NACHINGWEA
IMEWAKILISHA VYEMA KUONESHA NJIA ZA JINSI YA ULIMAJI WA ZAO LA UFUTA NA MIHOGO , HUO NI UFUTA AMBAO UMEPANDWA KWA 4-7-2012 NA UTAKUWA TAYARI BAADA YA SIKU 90, NAFAFI KATIKA KILA SHINA 50CM KWA 10CM.PAMOJA NA FAIDA ZA MAZAO HAYO KWA KUZALISHA VITU MBALI MBALI KAMA IONEKANAVYO KWENYE PICHA, HUO NI UNGA WAMUHOGO AMBAO UMEPAKIWA VIZURI KWENYE VIFURUSHI TAYARI KWA MATUMIZI MBALIMBALI. HALMASHAURI YA RUANGWA HAIKUWA NYUMA BALI NAO WAMEJITOKEZA KUSHIRIKI NA HILO NDILO BANDA LAO VIWANJANI HAPOHIZO NI BAADHI YA BIDHAA ZIPATIKANAZO KATIKA BANDA HILO, KAMA UONAVYO WAWEZA KUONA UNYAYO WA TEMBO, MENO YA SIMBA…. ELIMU NAYO INATOLEWA BANDANI HAPO KWA UHIFADHI WA MAZINGIRA KWA KULIMA KILIMO BORAHILI NI BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANDAHIMBA KITU CHA KUVUTIA KATIKA BANDA HILI NI HILI SHAMBA LINALOONEKANA HAPO KWENYE PICHA, SHAMBA HILO LIPO NDANI YA GUNIA AMBALO UNAWEZA PANDA MBOGA MBOGA NA KUPATA MAZAO HAYO KWA WINGI BILA KUHITAJI ENEO KUBWA LA KULIMA BUSTANI, PIA YANAPENDEZESHA NYUMBA KAMA MAPAMBO. HAKIKA UBUNIFU UNAHITAJIKA KATIKA KILA SEKTA
HAWA NI WANAKIKUNDI WA SHAMBA DARASA WANAJISHUGHULISHA NA KILIMO CHA UMWAGILIAJI WA MPUNGA, MBOGAMBOGA, MATUNDA NA NAFAKA PIA KATIKA UFUGAJI WA KUKU, MBUZI NA NG’OMBE HAWAKO NYUMA
HALMASHAURI YA NEWALA WAMESHIRIKI PIA KATIKA SHEREHE ZA MWAKA HUU ZA NANENANE NA HILI NDILO BANDA LAO BAADHI YA BIDHAA KATIKA BANDA LA HALMASHAURI YA NEWALA ULINAJI WA HASARI HUFANYIKA PIA KATIKA WILAYA HIYO NA HIZI NDIZO NYENZO ZA KAZIHALMASHAURI YA MASASI NAYO NDANI YA NANE NANE BAADHI YA WAHUDHURIAJI WA BANDA HILO LA HALMASHAURI YA MASASI JE UNAJIBU LA CHEMSHA BONGO? JIBU KATIKA KWA SEHEMU YA MAONI HAPO CHINIBWAWA LA SAMAKI NA BANDA LA KUKU.. HII INAMAANISHA UNAFUGA KUKU HUKU UNAFUGA SAMAKI CHAKULA UNACHO MLISHA KUKU NA KUKU HUYO ANA MLISHA SAMAKI KWA YALE MABAKI NA KINYESHI KIPATIKANACHO KWA KUKU HUYO DAH HII NI NJIA BORA PIA