NIJUZE NIJUZE Author
Title: MSANII ROMA APATA AJALI
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Muda mchache uliopita msanii wa kizazi kipya kwenye bongo hip hop ROMA amepata ajali mbaya barabara ya Morogoro. Roma anasema alikuwa yupo k...

Muda mchache uliopita msanii wa kizazi kipya kwenye bongo hip hop ROMA amepata ajali mbaya barabara ya Morogoro. Roma anasema alikuwa yupo kwenye mwendo wakawaida ndio tairi la mbele lilipopata pancha na ndipo gari likaacha njia yake na kwenda kugongana uso kwa uso na fuso ambalo lilikuwa upande wa pili na gari hilo dogo alilokuwa akiendesha Roma kurudi lilipotokea.

kwa sasa yuko Hospital kwa check up zaidi ila aliokuwa kwenye gari hakuna aliyeumia wote ni wazima. Roma akimwelezea police wa usalama barabarani kilichotokea mpaka kupata ajali hiyo mbayaHuyu ni mmoja kati ya marafiki wa Roma aliyekuwa nae kwenye gari wakielekea Morogoro kwenye show

HABARI KWA HISANI YA : DJCHOKA BLOG

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top