NIJUZE NIJUZE Author
Title: KOCHA MKUU WA AZAM KUJULIKANA LEO
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
UONGOZI wa Klabu ya Azam ya jijini Dar es Salaam, leo unatarajiwa kumtangaza kocha mpya atakayerithi mikoba ya Muingereza, Stewart Hall. Ha...

AZAM UONGOZI wa Klabu ya Azam ya jijini Dar es Salaam, leo unatarajiwa kumtangaza kocha mpya atakayerithi mikoba ya Muingereza, Stewart Hall.

Hall aliyeipatia timu hiyo nafasi ya pili ya Ligi Kuu na Kombe la Kagame, alitupiwa virago siku chache mara baada ya kwisha kwa michuano ya Kombe la Kagame kwa kutofikia malengo ya klabu hiyo.

Azam walikosa ubingwa wa Kombe la Kagame baada ya kufungwa mabao 2-0 na Yanga katika fainali ya michuano hiyo iliyochezwa Julai 28, kwenye Uwanja wa Taifa.

Mara baada ya kocha huyo kusitishiwa mkataba, benchi la ufundi lilitwaliwa na Vivek Nagul akisaidiana na Kally Ongala

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top