HALI ILIVYO KATIKA BARABARA KATI YA NANGURUKURU -MAVUJI Hali ya USAFIRI kati ya Nangurukuru Lindi km 165 imekuwa ni safari ndefu inayochukua takriban masaa 4 kufuatia kampuni ya CICO kuweka njia ya mchepuo kwa kufuatia matengenezo ya Marudio kufuatia matengenezo yake ya awali kwa kiwango cha lami kukataliwa na kulazimishwa arudie Hali kupishana huwa tete na Wengi uomba dua vua isinyeshe hali itakuwa mbaya zaidi. Wakala wa Barabara inaombwa kusimamia mkandarasi huyo kupunguza urefu wa mchepuo kwa kuwa ajaimarisha kwa ubora njia hiyo ya muda kati ya Lingaula na Mavuji..
Basi yenye namba za usajili T 140 BGS Linalofanya safari yake kati ya Dar na Maundo Tandahimba likiwa limepinduka kufuatia kuchomoka kwa matairi ya mbele na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kujeruhiwa...Ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Sinza –Miteja wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi barabara kuu ya Dar – Mtwara
PICHA NA: Abdulaziz Lindi