JK afuturisha wakazi wa Lindi-Nyumbani kwake

image Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Lindi ambae pia ni kadhi wa Mkoa  Mohamed Mushangani akiongoza sala ya Magharib Nyumbani kwa Rais Jakaya Kikwete Mjini Lindi katika hafla ya kufuturisha wakazi wa Mji wa LindiimageMdau Abdulaziz Ahmeid akisalimiana na Rais Kikwete mara baada ya Futuru
imageimage imageSheikh Mohamed saidi Mushangani akitoa shukran pamoja na dua baada ya futuruimage Rais JK akitoa neno kwa waalikwa baada ya  futuru hiyo iliyo fanyika nyumbani kwake Mtanda-Lindi
Previous Post Next Post