ROLI LA MCHANGA LAVAMIA BAR NA KUUA TEGETA-DAR ES SALAAM

Roli aina ya SICANIA lililokuwa limebeba mchanga likiwa limeacha njia na kuingia kwenye kwenye Bar ijulikanoyo kama Kmm maeneo ya Tegeta Kibaoni jijini Dar es salaam jana kwenye ajali hiyo mtu mmoja amefariki hapohapo na wengine wawili majeruhi.Mabaki ya vifaa mbalimbali vilivyoharibiwa kwenye bar hiyo baada ya kutokea kwa ajali hiyo jana maeneo ya Tegeta.Jeshi la polisi likiimarisha ulinzi katika ajali hiyoiliyotokea jana maeneo ya Tegeta Kibaoni.

chanzo;Full Shangwe Blog

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post