Jay-Z Kuja na Mfumo mpya wa Kuchajia simu bila kutumia waya (Wireless)

Tofauti ilivyo kwa ma rapper wengi na watu mashuhuri, Rapper Jay Z ameamua kuunganisha Kampuni ya Duracell Powermat katika mpango wake wa kuweka mfumo wa kuchajia simu kupitia meza za migahawa, bar Gym na sehemu za mikusanyiko ya watu kama njia ya Biashara
Kwa sasa mfumo huo wa kucharge simu Jay z ameshautumia katika Club yake ya kubwa ya 40/40 iliyopo mjini New York
Technologia hiyo ya kimageuzi itawawezesha watumiaji kuweka simu zao kwenye meza kama kawaida wanavyofanya ila tofauti ni kwamba
Kwa kufanya hivyo simu zao zitakuwa zinachajiwa kupitia Meza hizo
Mkurugenzi mkuu wa Duracell Powermat Ron Rabinowitz akiongelea lengo hilo amesema pia kutakauwa na app ya google ambayo itakuwa ikionesha sehemu zenye huduma hiyo
Kweli..
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo vitu vinavyozidi kuzinduliwa
Remember this:...
"You can't do today's job with
yesterday's methods and be in business
tomorrow"

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post