Baada ya HEMED PHD kuandika kwenye BBM kuwa yeye ni SHOGA, wadau wa mziki na movie ktk mitandao ya kijamii wamjia juu licha ya yeye kupigiwa simu na kukiri kuwa ni kweli aliandika lakini lengo lake lilikuwa ni kuona wadada watapokeaje tamko lake hilo lakini yeye sio SHOGA..