Wabunge wa CHADEMA ,Highness Kiwia wa Jimbo la Ilemela na Salvatory Machemli wa jimbo la Ukerewe wamenusurika kifo baada ya kudaiwa kushambuliwa kwa shoka na mapanga
Mbali na wabunge hao Wafuasi wengine watano wa chama hicho wamejeruhiwa vibaya na wamekimbizwa hospital ya Bugando huku mbunge Kiwia alilazimika kukimbizwa hospital ya Muhimbili baada ya hali yake kuwa mbaya
Habari hizi zimethibitishwa na kamanda wa polisi wa mkoa huo,Liberatus Barlow(RPC)
Tags
Siasa Ya Tanzania