CHADEMA YASHINDA ARUMERU
Matokeo ya kura za Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki yametangazwa sasa hivi na Msimamizi wa Uchaguzi Bw Gracias Kagenzi amemtangaza mgombea wa CHADEMA Bw Nassari kuwa mshindi baada ya kupata kura 32,972 dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka CCM Bw Sioi Sumari aliyepata kura 26,757
Tags
Siasa Ya Tanzania