Tido Mhando awa Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communication Limited

TIDO

Mkurugenzi wa zamani wa TBC (Tanzania Broadcasting),Tido Mhando (pichani) amekuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Kampuni ya Uchapishaji wa Magazeti ya kila siku hapa nchini ya Mwananchi Communication Limited,kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mkurugenzi Mtendaji wa Zamani wa Kampuni hiyo,Sam Shollei.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post