Mzee Said Fundi, maarufu kama Mzee Kipara msanii ambaye amedumu katika sanaa kwa miaka mingi sana amefariki dunia asubuhi saa mbili leo Jumatano tarehe 11 Januari, 2012. kwa habari zaidi tutakuletea hivi punde.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...