|
zingatia mapambo ya mwili kama mikufu, hereni saa ya mkononi, bangili ,
pete na kadhalika na pia itapendeza ukiwa nazo tofauti tofauti ili
ikusaidie katika kujinakshi na nguo zako. Pia hakikisha kabati lako ama
begi lako la nguo lina nguo muhimu za kazini, nyumbani, na za kutokea
na hii itakupa urahisi wa kupangilia mavazi yako pindi upatapo safari
ya dharura kwa kuzingatia haya unaweza tembelea blog ya mwanadada
mrembo pichani http://www.8020fashion.blogspot.com utapata kuona mitindo ya aina mbalimbali na watu wanavyopendeza kwa kujipangilia mavazi kulingana na sehemu husika |