MTANDAO WA WANATAALUMA TANZANIA WATOA TUZO KWA NYERERE.

image Mtandao wa Wanataaluma Tanzania umemtunuku nishani maalum Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Nyerere katika kongamano la wanataaluma hao leo kwenye ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam. Pichani, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa,  akikabidhi tuzo hiyo kwa mtoto wa Malimu, Makongoro Nyerere wakati wa kongamano hilo. Kulia ni Rais wa Mtandao huo, Phares Magesa.image Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Nyerere akimuonyesha tuzo hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Nape Nnauye. Kulia ni Mbunge wa Ubungo (CHADEMA) John Mnyika.

image "Ukosefu wa ajira kwa wasomi husababisha baadhi yao kushawishiwa kwa urahisi kushiriki maandamano" Waziri wa Maliasili na Utalii Ezekiel Maige (kushoto) akisema maneno hayo wakazi akizungumza na Mbunge wa Ubungo (CHADEMA) John Mnyika (kulia), Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Makongoro Nyerere na Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post