Juventus wamekuwa klabu ya kwanza kuonyesha ishara ya kwamba wapo tayari kulipa �20 million kwa ajili Carlos Tevez mwezi ujao.
Sources in Italy zinasema Raisi wa Juventus Andre Agnelli amezungumza na kocha wa Manchester city Roberto Mancini jana Ijumaa kuhusu Tevez.
Inasemekana kwamba City wapo tayari kumuachia Carlitos atleast kwa ada isiyopungua �20million , na Agnelli aliweka wazi kuwa anataka kumnunua Tevez kwa dili la permanently.
AC Milan walikuwa ndio timu ya kwanza kuzungumza na City kuhusu kumchukua Tevez lakini mkopo kitu ambacho City hawataki hata kusikia.
Tags
Usajili Barani Ulaya