NI MSIMU WA AJALI TZ?

AJALI MBAYA YATOKEA UBUNGO RIVERSIDE,

imageKatikati ni gari ndogo nyekundu iliyokandamizwa chini ya gari kubwa jeupe la mafuta. kuna mtu yuko hai bado hajatolewa. habari zinasema watu watatu wamekufa kati yao mama mjamzito ambaye kichwa na kiwiliwili vimetengana.image

Wakijaribu kunasua mwili wa wahanga hao wa ajali na miili ya waliokufa katika ajalia hiyo.

NINI HATMA YA KIKOMO CHA AJALI HIZI?

Previous Post Next Post