CMB PREZOO AMEMSANUA GIRLFRIEND WAKE

image

The King of Bling toka Kenya,Jackson Makini aka Rapper CMB Prezzo amemsanua rasmi girlfriend wake anayekwenda kwa jina la Joy Wanjohi ambaye alikua anafanya kazi Phat Magazine, amefunguka zaidi kuwa uhusiano wa yeye na Joy ni kama wa Wiz Khalifa naAmber Rose na wamekua wakitoka na Joy Wanjohi kwa muda wa mwaka mmoja na nusu sasa baada ya kutemana na ex-wife wake Daisy Kiplagat.

Previous Post Next Post