JE? NANI KUWA MCHEZAJI BORA WA AFRICA 2011

image

Kwenye picha hapo juu ni wachezaji wanao wania Tunzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa Mwaka 2011. Kupiga kura na kumchagua mchezaji unayedhani anafaa kuwa bora wa mwaka wa Afrika 2011. Bofya hapa kwenye link hii http://www.bbc.co.uk/worldservice/specialreports/bbc_african_footballer_of_the_year_2011.shtml

Wachezaji hao ni: Adre Dede Ayew, Samuel Eto'o, Yaya Toure, Gervinho na Seydou Keita

Previous Post Next Post