Rambi Rambi ya Chadema Kwa waathirika wa Ajali ya Meli Zenji

image

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akitoa rambirambi za Chama chake kwa wahanga wa ajali ya meli alipofika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais kutoa rambimrambi jana.

image

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akipokea mchango wa fedha  wa shilingi milioni tano kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kwa ajili ya Waathirika wa ajali ya Meli iliyotokea usiku wa tarehe 9-9-2011 katika bahari ya Nungwi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post