Rais Jakaya Kikwete na mgeni wake Rais Sheikh Sharif Ahmed wa Jamhuri ya Somalia wakipita katikati ya gwaride la mapokezi ya mgeni huyo mara baada ya kuwasiri kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo.
JK akimlaki mgeni wake Rais wa Somalia Viwanjani hapo.
Kikundi cha JKT kikitumbuiza kwa ngoma ya kiaso ya Pemba wakati wa kumlaki mgeni huyo.
Tags
IKULU DAR ES SALAAM