NGOMA MPYA YA COUNTRY BOY IKO HEWANI

image

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Country Boy ameitambulisha rasmi ngoma yake mpya ya “mateso” aliyomshirikisha Linah. Country alisema beat  imetengenezwa na Jimmy Jizze, vocal na mixing imefanyika katika studio ya Difatality chini ya Mesen Selector.

KAAMKAO WAKULA KWA ALBAMU

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post