MAN UTD 3 TOTTENHAM 0

image

Hayo ndio matokea ya EPL siku ya jumatatu usiku, mchezo ambao ulichezwa katika kiwanja cha Oldtraford. ikishuhudiwa na washabiki wengi kiwanjani hapo Kama kawaida ya Man utd wamewatandika Tottenham kwa mabao matatu kwa nunge na kufanya kufikisha pointi 6.

image

Jumapili wata kichapa na  Arsenal. wafungaji wakiwa ni Danny Wellbeck ndio mfungaji wa bao la kwanza huku Anderson akiweka goli la pili ndani ya kimia. Rooney alikata mzizi wa fitina baada ya kupachika Bao safi lakichwa na kufanya jumla ya magoli matatu.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post