MAFUTA TZ BADO KITENDAWILI

image



















Malori yakiwa yamepanga foleni tayari kuingia kujazwa mafuta katika matanki ya Kampuni ya Camel, eneo la Kurasini, Dar es Salaam jana. Camel ni miongoni mwa kampuni za mafuta zilizoamriwa na Serikali kuacha mgomo na kuanza kuuza mafuta ama sivyo ingechuliwa hatua kali za kisheria ikiwemo ya kufutiwa leseni.

image

 

 

 

 

 

 

 

 

Askari wakituliza vurugu za kugombea mafuta eneo la Vetinari, Temeke, Dar es salaam

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post