MWILI WA NGWAIR KUTOWASILI TENA LEO HII

clip_image001Kamati ya msiba ya mwanamuziki Albert Mangwea, imeleta taarifa kwamba mwili wa Ndugu  yetu Albert Mangwea hautoweza kufika siku ya jumapili ya tarehe 2/ 06/2013 kama ilivyo taarifa hapo awali, hii ni kutokana na sababu  zilizokuwa nje ya uwezo wetu.

Kwa sasa tunasubiri taarifa kamili kutoka kwa wenzetu/wawakilishi  wetu waliopo nchini Afrika Kusini, mara tutakapopata taarifa hizo  tutawafahamisha zaidi.

Tunaomba radhi watanzania wote kwa usumbufu wote  uliojitokeza  tushirikiane na uvumilivu kwa hili.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post