FISTONE MAYELE KUMBE ASILIMIA 60 TU YANGA

Mshambulia wa Yanga na kinara wa mabao, Fiston Mayele aliyetupia tisa katika Ligi Kuu katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar, akiwa ameiteka asilimia kubwa ya nchi kwa staili yake ya kushangilia, eti kocha wake Nesreddine Nabi ametoa tathmini ya kazi yake akisema ni asilimia 60 tu.

Kocha Nabi alisema mpaka sasa Mayele amefanya kazi yake kwa asilimia 60 tu, licha ya mashabiki kuzidi kupagawa na mabao yake na staili yake ya kushangili kwa kupiga mkono na kutetema.


 

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post